Registration of PWDs

Report from Janet Mwakachola, March 15 and 16, 2024 Leo tulikuwa na zoezi la uandikishaji wa walemavu au mass registration na vikundi vya Wusi-Kishamba. Walemavu walijitokeza kwa wingi. Changamoto zaidi…

Need for a Special School

A Report from a field visit, by Janet Mwakachola Leo tulikuwa Rong’e ward kuona kiwaja kilichotengewa walemavu. Walemavu wametoa changamoto zao kweli. Kiwanja kiko lakini umaskini ndio *shida kubwa* maana…

International Women’s Day

Katika ripoti yake siku ya International Women’s Day, Janet Mwakachola, aliye ni mshirika wa kundi la wamama wanaoshona vikapu, na pia ni mwakilishi wa Mwatate Disability Network katika ofisi ya…

Girl-Child PWDs

Mkutano na kamati yetu Taita Taveta tukipangilia miradi za walemavu. Kweli walemavu wako na changamoto nyingi zinazo wazuia kuendelea mbele. Wengi wanatoka kwa umasikini hata kupata mkate wa siku ni…

Our Challenges

A report from the field by the MDN representative, Janet Mwakachola (English translation below): Ulemavu ni gharama maana ukitaka kuenda popote lazima utumia usafiri wowote. Tukiangalia mlemavu wa cerebral palasy,…

Representation

Leadership Persons living with disabilities in Mwatate Subcounty are represented by Janet Mwakachola. She is a PWD with a huge responsibility to give voice to no less than 1200 members.…

Bedsitters Project

Following several meetings, MDN members floated ideas that would help them achieve financial independence. Mwatate is a growing township with an increasing population of teachers, traders, civil servants, prospectors, ranchers…

International Disability Day

Persons living with disability are members of our families who go to be and wake up in our homes. It is important that we give them visibility and dignify them…

Buy-a-Brick Fundraiser

Support a Dream for the Disabled We are starting with a foundation fundraiser of $10,000 that will help us lay the project’s foundation. Buy-a-Brick If 1000 of our best friends…

Visibility

To see us is to humanize us | Kutuona ni kutufanya wanadamu “My commitment extends to issues such as the shortage of teachers in local schools, infrastructure improvements in their…