Category: Broadcasts

PWD Assessment

In order for a person with disability to get a government ID that allows them to receive the help they need and for their rights to be recognized and services…

No Disabled Person Left Behind

August 15, 2024 Report: Against all odds, the office of the disabled in Mwatate SubCounty continues to ensure they facilitate the registration of every disabled person so they can exercise…

PWDs Election in Taita-Taveta County

Uchaguzi wa Viongozi wa Walemavu Katika Kaunti ya Taita-Taveta Leo, Aprili 5, 2024, tulikuwa na uchanguzi wa Taita Taveta County. Kila kiongozi ametoka kwa kila sub county. Changa moto ni…

Registration of PWDs

Report from Janet Mwakachola, March 15 and 16, 2024 Leo tulikuwa na zoezi la uandikishaji wa walemavu au mass registration na vikundi vya Wusi-Kishamba. Walemavu walijitokeza kwa wingi. Changamoto zaidi…

Need for a Special School

A Report from a field visit, by Janet Mwakachola Leo tulikuwa Rong’e ward kuona kiwaja kilichotengewa walemavu. Walemavu wametoa changamoto zao kweli. Kiwanja kiko lakini umaskini ndio *shida kubwa* maana…

International Women’s Day

Katika ripoti yake siku ya International Women’s Day, Janet Mwakachola, aliye ni mshirika wa kundi la wamama wanaoshona vikapu, na pia ni mwakilishi wa Mwatate Disability Network katika ofisi ya…