Spread the love

Uchaguzi wa Viongozi wa Walemavu Katika Kaunti ya Taita-Taveta

Leo, Aprili 5, 2024, tulikuwa na uchanguzi wa Taita Taveta County. Kila kiongozi ametoka kwa kila sub county. Changa moto ni umasikini. Kwa mfano, walemavu walishinda bila kula chochote ikabidi niombe maji kwa m’bunge wa eneo na tukaletewa. Inabidi tukae na mfuko wetu wakujisimamia. Tujitahidi.

Translation:

Today we held elections for PWD representatives in Taita Taveta County. All local leaders from the subcounty were present. The main challenge facing us remains poverty. For example, the attending PWDs spent all day hungry.

I had to ask for water from the area MP and we were given. We need to have our own funding so we can stand on our own. We will make this happen.

Report by PWD Representative, Mwatate Subcounty, Janet Mwakachola

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *