Spread the love

Leo (April 9, 2024) tumekabidhiwa ploti ekari sita. Changamoto ni kwamba imeingia maskwota. Tunatafuta pesa ya kuweka ua ili iwe salama. Kuna watu wanapenda kudhulumu walio wanyonge maana walemavu hawana uwezo wa kushindana na wawo.

Translation:

Today we have been given custodianship of a 6 acre plot. The problem is that it has squatters. We are seeking funds to fence it up and secure it. There are people who take advantage of the disabled because of their inability to quickly defend their property.

Report from the field by Janet Mwakachola

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *